Huyu kijana kila siku ana mpya! Hivi karibuni bwana mdogo huyu mwenye makubwa kuliko umri wake Justin Bieber amenaswa na kamera za Paparazzi nchini Brazil akiwa anatoka kwenye danguro moja maarufu huko Rio de Janeiro, akiwa amejifunika ili asionekane kirahisi.
Kwa mujibu wa mashuhuda, Bieber alikaa ndani ya danguro hilo linalojulikana kama ‘Centaurus’ masaa Matatu akiwa na rafiki yake.

Lakini mashuhuda wengine waliutonya mtandao wa Brazili wa EGO kuwa wasichana wawili walichukuliwa katika magari mawili tofauti na kupelekwa kwenye hotel aliyofikia Bieber.
Baadae EGO iliripoti kuwa Justin Bieber alifukuzwa kwenye hotel hiyo kwa sababu alivunja sheria/masharti ya hotel hiyo, japokuwa haikuelezwa ni sheria gani alizovunja.
Story za mtaa zinadai kuwa Bieber na rafiki zake walikuwa wanalewa hovyo na kuwadisturb watu wengine katika hotel hiyo.
Kwa mujibu wa sheria za Brazil, ukahaba unaruhusiwa lakini madanguro hayaruhusiwi kabisa, kwa hiyo ni kosa lingine ambalo Bieber amelitenda na huenda akawa amewatibulia wamiliki wa danguro hilo kwa vyombo vya usalama vya Brazil.

0 Maoni:
Toa Maoni