Ellen atupia kama Nick Minaj..Hot or not?

Kama huwa unaangalia Elen DeGeneres Show utakuwa unamjua huyu ninayemzungumzia hapa....namanisha prodyuza na mtangazaji wa kipindi hicho maarufu Ellen ambaye siku zote mwonekano na mavazi yake ni kama mwanaume...Sasa fikiria mwanamama huyo akitinga kivazi kama Nick Minaj anafananaje? Jibu liko chini kwenye picha baada ya Ellen kutinga kivazi kinachofanana cha Nick na kuonyesha jinsi alivyo na mvuto japo ana miaka 55!
Ellen katika muonekano wa kawaida
Ellen alipotupia na kama Nick Minak katika kivazi chale cha Halloween

0 Maoni:

Toa Maoni