MamuAfrica blog inakupa nafasi ya kuangalia picha ya pamoja Willy Smith na Jada waliyopiga kama familia wakiwa na watoto wao Trey, Jaden na Willow katika birthday ya 21 ya mtoto wao mkubwa Trey iliyohudhuriwa na waalikwa 55.
PICHA: Familia ya Will Smith na Jada Pinkett inavyopendeza
Baada ya tetesi kuwa Willy Smith na mke wake Jada Pinkett wameachana,wameonekana pamoja katika sherehe ya kuzaliwa ya mtoto wao wa kwanza Trey alipotimiza miaka 21 tena wakiwa karibu,ukaribu unaonyesha hawana tatizo.
MamuAfrica blog inakupa nafasi ya kuangalia picha ya pamoja Willy Smith na Jada waliyopiga kama familia wakiwa na watoto wao Trey, Jaden na Willow katika birthday ya 21 ya mtoto wao mkubwa Trey iliyohudhuriwa na waalikwa 55.
MamuAfrica blog inakupa nafasi ya kuangalia picha ya pamoja Willy Smith na Jada waliyopiga kama familia wakiwa na watoto wao Trey, Jaden na Willow katika birthday ya 21 ya mtoto wao mkubwa Trey iliyohudhuriwa na waalikwa 55.

0 Maoni:
Toa Maoni