Pamoja na kuwa na hali ya hewa ya baridi sana huko New York sasa na mitindo ya mavazi kubadilika kutokana na hilo, hali imekuwa tofauti kwa Lady Gaga. Mwanamuziki huyo mwenye vituko ameonekana akikatiza huko akiwa katinga kivazi cha wazi bila hofu!
Cheki alivyotupia kivazi cha matobotobo kwenye pcha...




0 Maoni:
Toa Maoni