PICHA: Watoto ndani ya mitupio ya mastaa waliotokeleza tuzo za Oscar..

 
Cheki ubunifu wa mpiga picha mpya kutoka  New York Tricia Messeroux alipowabadilisha hawa watoto kumi na nne na kufanana na mastaa waliotokelezea kwenye red carpet ya tuzo za Oscar 2014.
Lupita Ny'ongo
Pharell Williams na mke wake
Meryl Streep
Jennifer Lawrence
Giuliana Rancic
Jared Leto
Matthew McConaughey & Camila Alves
Kelly Osbourne
Charlize Theron
 

0 Maoni:

Toa Maoni