PICHA YA SIKU: Ciara mama kijacho....
Mwanamuziki Ciara anatarajia kumkaribisha mtoto wao wa kwanza na mpenzi wake rapa Future na ame-share picha zake akionyesha muonekano wake wa sasa akiwa anakaribia kujifungua.
Ni Mtangazaji, Mwandishi, Blogger na Mama wa mtoto mmoja. Karibu katika kijiwe cha habari motomoto, burudani na udaku.
0 Maoni:
Toa Maoni