Kutana na Roberto Cavalli mzee wa miaka 73 ambaye ni mmoja kati ya wakongwe mashuhuri kwenye ubunifu wa mitindo duniani "one of the world's greatest fashion designers" lakini ana mpenzi aliyemzidi umri sana yaani mpenzi wake ni binti mbichi anaitwa Lina.
Wawili hawa wamenaswa hivi karibuni na kamera za paparazi wakiwa wamejiachia ufukweni tena ndani ya mavazi husika...Cheki picha mwenyewe!



0 Maoni:
Toa Maoni