Huku kila mwanaume akiwa na aina ya jinsi alivyosherekea, Kanye amefanya kitu tofauti kwa kumnunulia Kim ukuta uliotengenezwa kwa Maua ya Rose tupu kitu kilichopokelewa kwa furaha na mama wa mtoto wake.
Baada ya ku-share furaha yake kupitia mtandao wa Instagram hiki ndicho alichokutana nacho kutoka kwa Mashabiki... Kumbe sio huku tu ha kule wapo duh!!!







0 Maoni:
Toa Maoni