PICHA: Kim Kardashian,Kanye na familia wakiwasili Ufaransa kwa maandalizi ya harusi


Kim and Kanye wamebakiza siku chache kabla ya kuwa rasmi mke na mume,siku yao ya ndoa imekaribia ni jumamosi tu hapo. Familia nzima ya Kardashian na ma-designer maarufu waliohusika kuandaa mavazi tayari wamewasili Paris kwa ajili ya maandalizi ya maandalizi harusi.

Zama chini hapokucheki picha ya tukio zima.

Kim,Kyle na Kloe

Swaga za Kendal
Mama la mama sasa.. Kris Jenner
Bwana Harusi kanunajee!
Dada mkubwa,Kotney
Ma-designer tayari na mavazi yao mkononi
Swaga za Bi Harusi

0 Maoni:

Toa Maoni