Ingia hapa kusoma jinsi ya kuniwezesha kwa kunipigia kura katika Tuzo za watu.


TUZO ZA WATU
Kama Mtangazaji wa Times fm Mimi na kipindi cha Hatua Tatu tumefanikiwa kupendekezwa kwenye Tuzo za watu katika vipengele vya mtangazaji wa radio anayependwa na kipindi cha radio kinachopendwa,hizi ni tuzo za watu na wewe msikilizaji wetu ndiye unaweza kutuwezesha kuweza kuchukua tuzo hizo.

Jinsi ya kuniwezesha kuchukua tuzo ya mtangazaji wa radio anayependwa unampigia kura kwa kutuma ujumbe mfupi katika simu yako ya mkononi kwa kuandika TZW1 MARYAM na unaituma kwenda namba 15678 au kwa njia ya mtandao unaingia kwenye www.tuzozetu.com  na unachagua Maryam Kitosi

Na kukipigia kura kipindi cha Hatua Tatu katika kipengele cha kipindi kinachopendwa unaandika TZW2 HATUA TATU na unatuma kwenda namba 15678 au kwa njia ya mtandao unaingia kwenye www.tuzozetu.com unachagua Hatua Tatu.

Kumbuka gharama za SMS ni ya kawaida kama unavyotuma SMS nyingine,na unaruhusiwa kupiga kura mara nyingi unavyoweza hakuna kikomo.

Ahsante kwa kutuwezesha kwa kupiga kura yako sasa katika Tuzo za watu,ushindi wetu ni ushindi wako.

Na Edson Mkisi tukifanya yetu
Team Hatua Tatu #TheDreamTeam
Mwanamke wa kisasa anasifiwa kwa kazi

0 Maoni:

Toa Maoni