Rapa Rick Ross, ame-share picha Instagram inayoonyesha tattoo mpya aliyochora chini ya mdomo yaani kidevuni inayosomeka '
Rich Forever' kitu kilichosababisha mmoja wa mashabiki wake kumpa makavu kuwa hana utajirui wa kiasi hicho cha kutokuwa na wasiwasi wa kufulia milele! Cheki alichoandika shabiki huyo;
"He's
not rich enough that he doesn't have to worry about money for the rest
of his life. The way he spends it he may be broke soon...the life of a rapper is short lived"
 |
| Tattoo mpya ya boss Rozay |
0 Maoni:
Toa Maoni