Siku ya baba duniani: Picha na message tamu za mastaa kwenda kwa ma-baby dady wao..


Ciara aliingia rasmi kwenye ulimwengu wa 'umama' baada ya kujifungua mtoto wake wa kwanza wa kiume Future Zahir Wilburn tarehe 20 May na hivi karibuni alionekana kitaani kwa mara ya kwanza huku akionekana yuko fiti lakini hatukuonyeshwa sura ya baby Zahir..kwa mara ya kwanza Ciara ame-share picha ya mtoto wake ikiambatana na message tamu kwa baba mtoto wake rapa Future,cheki hapa chini...


From The Moment Baby Future Arrived, He Was Holding Your Hand So Tight, He Knew You Were Dad. Seeing That Melted My Heart... When I Look At Him, I See You Shining Through, And That's One Of The Most Beautiful Things Ever! You Are Truly One Of The Realist, Most Caring, Hard Working, Loving Dads In The World, and I'm So Proud Of You.I Love You. Happy Fathers Day @Future.

Pamoja na kuwa na tetesi wametengana Beyonce na Jay Z bado wanaonyesha mambo kwao si mabaya na Bey alichukua nafasi ya kutuma ujumbe na picha kusherekea siku hii muhimu..


Kim Kardashian naye anasherekea siku ya kina baba duniani huku akisherekea mwaka mmoja toka kuzaliwa kwa mtoto wake North West na kupitia Instagram ameshare picha ya Kanye West ambae ni mume wake sambamba na ujumbe huu...

 '' This is what life is about! Our baby girl turned 1 today! We played so hard they passed out while we were watching the game! Happy Father's Day to the best daddy in the world! The way you love our daughter and protect her makes me filled with so much love! #BestDayEver #Twins #HappyFathersDay #HappyBirthday''



 Pande za Nigeria pale mwanamuziki 2Face Idibia pia alipata ujumbe mtamu kutoka kwa mama watoto na mke wake Anne Idibia..

 "Happy Fathers Day To My KING @2faceidibia1 !!!! An Amazing n wonderful Father!!! God bless u baby!!! We Love U daddy...


Huku Peter Okoye wa P square naye akipewa ujumbe mzuri na mke wake Lola Omotayo...

"Happy Father's day daddy! @peterpsquare. You are your daughter's first love. The first word out of her mouth was..."papa" and this still continues to be the first word she says when she wakes up. She lights up at the first sight of you. You are a one in a million dad!"

"Happy Father's day babes @peterpsquare. You are your son's first hero...May God continue to bless and protect you and keep you safe and healthy for us. You are the coolest dad ever. We love you.��������"

0 Maoni:

Toa Maoni