Tumezoea kumuona mwanadada mcheza Tenesi Serena Williams akiwa kajiachia kwenye vivazi kama bikini n.k lakini safari hii ni zamu ya dada yake in Venus ambae amekava ukurasa wa mbele wa jarida la ESPN akiwa mtupu kabisa!
Miaka mitano iliyopita Serena nae alipamba jarida hilo akiwa mtupu pia.



0 Maoni:
Toa Maoni