PICHA: Red carpet tuzo za BET cheki nani kang'aa nani kaharibu..


Shughuli ya utoaji wa tuzo za BET imefanyika weekend iliyopita na Mamu Africa blog inakuletea picha mbalimbali za mastaa wakiwa kwenye red carpet na utatoa maoni yako nani alipendeza au kivazi kipi kilikuvutia na yupi aliharibu..haya twende kazi!


Nhalanha wa Mafikizolo
Paris Hilton
Karrueche Tran
Mmh
NeYo
Gabrielle union
Tiwa Savage
Zendaya
Pharel William
Mabinti wa Eddie Murphy
Ashanti
Kerry Washngton
Omarion na Baby Muva
Paris Hilton
Faith Evans

0 Maoni:

Toa Maoni