Hakuna kitu kizuri kama kuwa na ukaribu na familia na linapokuja swala la familia kwa Rihanna humwambii kitu mbali na skendo na vituko vyake..anajali sana! Ni hivi karibuni tu ali-share picha mfululizo zinoonyesha akilea kwa ukaribu kabisa na mtoto mchanga aliyezaliwa wa ndugu yake.
Wakati mastaa kibao wakiwa wwamehudhuria shughuli nzima ya utoaji wa tuzo za BET Marekani Rihanna kwake imekuwa tofauti baada ya kutumia muda huo kupata chakula cha jioni na baba yake huku wakionekana kufurahia zaidi muda wao...




0 Maoni:
Toa Maoni