PICHA: Kanye West na binti yake North


Jana kupitia Instagram Kim Kardashian amemuonyesha mtoto wake kwa mara nyingine tena baada ya ku-share picha hii mpya na nzuri ya North akiwa na baba yake Kanye West studio.

0 Maoni:

Toa Maoni