Kutana na watoto mapacha watatu wanaofanana kila kitu yaani hadi kulia na kucheka kiasi kwamba ni wazazi wao tu ndio wanaweza kuwatofautisha tena baada ya kuwapaka rangi tofauti za kucha miguuni! Mama yao Kren mwenye miaka 33 anasema;
Wamesherekea siku yao ya kuzaliwa baada ya kutimiza mwaka mmoja. Baby Ffion ana rangi ya fuschia kwenye kucha zake huku Maddison ana kijani na Paige ana rangi ya zambarau (purple)
- ''Sio fashion ila tumehangaika sana kuwatofautisha ndio tukapata wazo la kuwapaka rangi tofauti za kucha na tumefanikiwa. Imefanya maisha kuwa rahisi kwenye ratiba za kila siku kama kuwalisha,kuwaogesha na kuwabadili nepi. Rangi za kucha zinatusaidia kujua nani tumeshampatia huduma!''
![]() |
| Rangi zao za kucha vidoleni awww! |
![]() |
| Wazurijee! |







0 Maoni:
Toa Maoni