Kutana na Gliedson, of Fortalenza, ambaye amefanya upasuaji ili kuendeleza ndoto yake ya kufanana aliyekuwa mfalme wa pop Michael Jackson. Gliedson aliyewahi kuwa mwalimu wa maigizo amechomwa sindano ya acid usoni ambayo imefanya awe mweupee na pia amefanya upasuaji kwenye meno kuondoa nafasi huku akichora aina ya tattoo nyusi zake ili ziwe kama za MJ!
Gliedson ana matumaini makubwa sasa ya kukusanya hela za kutosha ili afanye upasuaji zaidi ambapo alipata msukumo wa kuwa Michael Jackson wakati ana miaka 19 baada ya wanafunzi wake wa maigizo kumwambia anafana sana na mfalme wa pop Michael Jackson.
![]() |
| Hapa kabla hajajibadili muonekano |
Angalia picha zake za muonekano wa sasa baada ya kufanya upasuaji hapa chini ;







0 Maoni:
Toa Maoni