Mrembo anayetesa kwa umbo lake matata anayewakilisha +254 Vera Sidika amekanusha taarifa zilizosambaa kuwa atakuwa mmoja kati ya wawakilishi wa shindano la BBA nchini Kenya ndio maana hakauki kwenye headlines sasa..
Kupitia page yake ya Instagram Vera alifunguka hivi;


0 Maoni:
Toa Maoni