Wakati mwingine mafanikio huongezeka kwa mtu kutokana na kutahamini wale wanafanya ang'ae kwenye jambo analolifanya...mfano mwanamuziki kujua thamani ya shabiki wake anaependa na kununua kazi zake na kuzifanya ziendelee kuchezwa katika vituo vya redio na televisheni..ndicho alichokifanya Davido kwa kuthamini 'alichotiliwa mfukoni' na shabiki wake.
Binti kutoka Ivory Coast ameshangaza wengi akiwemo Davido mwenyewe baada ya kufanikiwa kujisogeza mpaka kuweka barua ya mapenzi kwenye mfuko wake wakati alipokwenda nchini kwao na kwa bahati nzuri Davido aliiona na kuitupia Instagram kuonyesha kuthamini alichoandikiwa na shabiki wake
Icheki barua hiyo na kusoma alichoandika Davido.



0 Maoni:
Toa Maoni