Mastaa Kim Kardashian na rapa Kanye West waliwahi kukaririwa wakisema hawapendi mtoto wao North atokee kwenye vyombo vya habari hivyo wako radhi kutumia gharama kubwa kumficha.Moto huo umeendelea baada ya Kim kunaswa akiwa anakatiza na mwanaye ambaye walimechisha kimavazi ila alikuwa akijaribu kumziba uso kimtindo ili kamera za waandishi zisimnase..Cheki picha chini.
Kim K amficha uso mwanaye kukwepa kamera ya mapaparazi
Mastaa Kim Kardashian na rapa Kanye West waliwahi kukaririwa wakisema hawapendi mtoto wao North atokee kwenye vyombo vya habari hivyo wako radhi kutumia gharama kubwa kumficha.Moto huo umeendelea baada ya Kim kunaswa akiwa anakatiza na mwanaye ambaye walimechisha kimavazi ila alikuwa akijaribu kumziba uso kimtindo ili kamera za waandishi zisimnase..Cheki picha chini.

0 Maoni:
Toa Maoni