Jamaa huyo alimwambia daktari kuwa ana uume mdogo ndio maana annahisi kashindwa kumridhisha mpenzi wake na kuamua kuzuchinja sehemu hizo. Alifikishwa hospitali haraka baada ya kutoka damu nyingi isiyokauka na madaktari wamemfanyia surgery lakini wamesema ni mapema sana kutoa taarifa kama atarudi sawa au lah.
Ajikata uume baada ya girlfriend kumwambia hamridhishi kitandani!
Oliver Ilic mwanaume mwenye miaka 22,amechukua uamuzi mgumu wa kukata uume wake baada ya mpenzi wake kumwambia hayuko vizuri linapokuja suala la mapenzi yaani hamridhishi!
Jamaa huyo alimwambia daktari kuwa ana uume mdogo ndio maana annahisi kashindwa kumridhisha mpenzi wake na kuamua kuzuchinja sehemu hizo. Alifikishwa hospitali haraka baada ya kutoka damu nyingi isiyokauka na madaktari wamemfanyia surgery lakini wamesema ni mapema sana kutoa taarifa kama atarudi sawa au lah.
Jamaa huyo alimwambia daktari kuwa ana uume mdogo ndio maana annahisi kashindwa kumridhisha mpenzi wake na kuamua kuzuchinja sehemu hizo. Alifikishwa hospitali haraka baada ya kutoka damu nyingi isiyokauka na madaktari wamemfanyia surgery lakini wamesema ni mapema sana kutoa taarifa kama atarudi sawa au lah.

0 Maoni:
Toa Maoni