PICHA: Yaliyojiri katika birthday ya Dida wa Mitikisiko ya pwani

Jana ilikuwa birthday ya mtangazaji wa Times Fm kipindi cha Mitikisiko ya Pwani, Dida ambapo alifanya sherehe ndogo nyumbani kwake Mwananyamala ili kujumuika na ndugu, jamaa na marafiki. Shuka chini kucheki picha ya baadhi ya matukio.
 

Mie hapa
 
Team Times fm

Mkurugenzi wa Redio Times Rehure Nyaulawa

  
Dida na big boss

 
Team Times fm kushoto mimi, One B, Dida, Ummy na Dj Rguy
 
 
Rose Ndauka (Aliyegeuka), Maimartha na Jb wakifungua Champaigne

 
 
Wahudhuriaji

Nikilishwa keki
 
 
 
 
 
Keki
  

0 Maoni:

Toa Maoni