Cheki midoli anayochezea mtoto wa mastaa Kanye West na Kim Kardashian, Nori ambayo imetengenezwa kwa muundo unaojenga picha za wazazi wake. Mdogo wa Kim, Khloe aliitupia kwenye ukurasa wa instagram huku akiandika 'West'
Midoli anayochezea mtoto wa Kim na Kanye West mmh..
Cheki midoli anayochezea mtoto wa mastaa Kanye West na Kim Kardashian, Nori ambayo imetengenezwa kwa muundo unaojenga picha za wazazi wake. Mdogo wa Kim, Khloe aliitupia kwenye ukurasa wa instagram huku akiandika 'West'

0 Maoni:
Toa Maoni