Akithibitisha kwa vitendo kuwa yeye ni OBO (Omo Baba Olowo) yaani mtoto wa tajiri staa wa muziki kutoka Nigeria anayetarajiwa kudodondoka ndani ya Bongo na kuangusha bonge moja la shoo November Davido ameanika mzigo wa madolari (Dolar) kupitia page yake ya Instagram. Cheki picha ..
Davido aanika mzigo wa Dolar Instagram..
Akithibitisha kwa vitendo kuwa yeye ni OBO (Omo Baba Olowo) yaani mtoto wa tajiri staa wa muziki kutoka Nigeria anayetarajiwa kudodondoka ndani ya Bongo na kuangusha bonge moja la shoo November Davido ameanika mzigo wa madolari (Dolar) kupitia page yake ya Instagram. Cheki picha ..

0 Maoni:
Toa Maoni