Jana ilikuwa ni siku ya kuzaliwa ya msanii wa bongo flava anayefanya vizuri kwasasa Nassib Abdul Diamond Platnumz ambaye alifanya sherehe yake ya maana kwenye Ukumbi wa Kilimanjaro uliopo jengo la Golden Jubilee maeneo ya Posta.
Katika sherehe hiyo iliyohudhuriwa na ma staa kibao wa muziki,filamu na watangazaji Diamond alizawadiwa gari mpya BMW X6 kutoka kwa uongozi wake.
Shuka na picha za eneo la tukio mambo yalivyokuwa.Picha kwa hisani ya Edwin Tz kutoka Times FM.
![]() |
| Hili ndio gari alilozawadiwa Diamond na Management yake |

















ebwana jamaa anatisha sana ukiwa maarufu lazima yote yawezekane tu
ReplyDelete