Japo amegonga miaka 59,hiyo kwake haimzuii Kris Jenner kupata haki yake ya mapenzi hata kama watu na media wamekuwa wakiripoti kuwa uhusiano wake na Serengeti boy mwenye miaka 33 uko kimaslahi zaidi kwani kijana huyo anamtumia mwanamama huyo mwenye mkwanja.
Juzi usiku Kris,ameonekana mwenye furaha alipoongozana na mpenzi wake huyo Corey Gamble huko Magharibi mwa Hollywood alipokutana na marafiki zake na wakati wakitoka kwenye mgahawa huo Corey alionekana na lipstick usoni kwake inayofanana na iliyopakwa na mama huyo mdomoni...inaonekana alikukuwa akimiminiwa mabusu tu lol!




0 Maoni:
Toa Maoni