Mbunge mwenye mbwembwe anayewakilisha Kenya Mike Sonko nae ameendeleza ligi baada ya ku-share picha akionekana kapanga mabunda ya pesa nyiingi kwenye meza ya ofisi yake kama bondia Floyd Mayweather na rapa 50 Cent walivyowahi kufanya! Cheki picha chini hapo...
![]() |
| 50 Cen aki-flaunt zake |
![]() |
| MayWeather na zake.. |
![]() |
| Sonko nae hayupo nyuma, kazianika zake |




0 Maoni:
Toa Maoni