Tumezoea kuona mastaa wa kike tu kama Rihanna na Kim Kardashian wakijianika watupu live hadi kwenye mitandao sasa ni zamu ya Wiz Khalifa haha!
Kupitia Instagram Rapa huyo wa We dem boyz ameshare picha akiwa mtupu huku mkono mmoja kashika chupa akijimwagia na mkono mwingine ukiziba sehemu nyeti na kuandika ''No shower till 4pm''



0 Maoni:
Toa Maoni