Beyonce ame-share picha akiwa ameshika mikono ya mtoto ujumbe mtamu na wa kugusa kwenda kwa aliyekuwa member mwenzake wa Destiny child Kelly Rowland ambaye amepata mtoto wa kiume wiki hii huku mdogo wake Solange aki-share furaha yake baada ya kushuhudia wakati Kelly akijifungua.
Cheki walichoandika hapa chini-->>
| Huu ni ujumbe alioandika Solange |
![]() |
| Beyonce |



0 Maoni:
Toa Maoni