Yule mbunge anayewakilisha 254 aliyepata umaarufu kutokana na mbwembwe zake nyiingi linapokuja swala la muonekano maana ni kawaida kabisa kuvaa hereni, kunyoa style za kitaa zaidi,kupiga macheni n.k Mike Mbuvi maarufu kama Sonko ameshinda tuzo ya kiongozi bora wa mwaka.
Pamoja na mbwembwe zake, Sonko amekuwa mstari wa mbele kujitolea kwenye jamii, cheki alichosema na picha zake hapa chini;




0 Maoni:
Toa Maoni