Mastaa wanandoa Jay Z na Beyonce wameonekana wakiwa shopping na mtoto wao Blue Ivy ambaye wamembadilisha muonekano wake wa nywele zilizoonekana kuchanwa na vizuri kitu kilichosababisha apendeze zaidi.
Siku zilizopita lilizuka gumzo kwenye mitandao baada ya mastaa hao kuachia nywele za mtoto wao shaghalabaghala huku ikidaiwa wanamtengeneza dreadlocks..inawezekana makavu waliyopewa yamesaidia lol!
0 Maoni:
Toa Maoni