Kim Kardashian acharuliwa baada ya kukava jarida akiwa mtupu!


Mashabiki wa Kim Kardashian hawajafurahishwa na kitendo cha bidada huyo kupamba jarida Paper akiwa mtupuu kabisa!

Kupitia Instagram Kim, ameshare baadhi ya picha zilizopo kwenye jarida hilo huku nyingine akionekana ameuka na kutupa mgongo akiwa mtupu..jionee hapa!


Haya ni baadhi ya makavu aliyopewa baada ya ku-share picha hizo zisizo na maadili..


0 Maoni:

Toa Maoni