Nameless afungukia tetesi za kuachana na Wahu


David Mathenge aka Nameless amefungukia tetesi zilizozagaa kwenye blogs na mitandao ya kijamii kuwa ndoa yake na staa mwenzake Wahu  inatikisika kutokana na  kugundua si baba halali wa binti yake mdogo alipochukua vipimo kuthibitisha. '

Kupitia ukurasa wake wa facebook Nameless amefungukia ishu hiyo..soma hapa.


0 Maoni:

Toa Maoni