PICHA: Harusi ya Solange ilivyonoga --->>


Hatimaye Beyonce jana amemkaribisha kwenye chama la wanandoa ndugu yake Solange Knowles ambae ameolewa na aliyekuwa boyfriend wake wa muda mrefu Alan Ferguson ambaye ana miaka 51.Harusi hiyo imefanyiaka New Orleans.

Mahadhi ya harusi hiyo yalikuwa ya style za kizamani hivi ambapo maharusi walikuwa wakiendesha baiskeli (cheki picha chini) na watu wote walipiga vivazi vya cream. Mma yao Tina Knowles, Beyonce, Jay Z na mtoto wao Blue Ivy ni moja kati ya waliofika harusini hapo.



0 Maoni:

Toa Maoni