French Montana na Khloe Kardashian warudiana, wamzawadia P Diddy Escalade

 

Baada ya kuripotiwa kumwagana rapa French Montana na Khloe Kardashian wadaiwa kurudiana tena kwa kishindo...

Siku mbili zilizopita French alihudhuria birthday party ya mdogo wa Khloe yaani Kendall Jenner huku mtandao wa TMZ ukiripoti kuwa ali-dance na Khloe kisirisiri lakini mambo yako hadharani baada ya P Diddy kuandika furaha yake Instagram baada ya kuzawadiwa Escalade ya kisasa na wapendanao hao alipotimiza miaka 45 ya kuzaliwa.

Hiki ndicho alichoandika P Diddy IG
French na Diddy
French akiwa na Kendall na Chris Jenner mama yake Khloe

0 Maoni:

Toa Maoni