Beyonce atajwa na Forbes kama mwanamuziki wa kike anayengoza kwa mkwanja

 

Beyonce ametajwa kama mwanamuziki wa kike anayevuna mkwanja zaidi kuliko wengine katika orodha ya majina kumi yaliyotajwa na Forbes.
 
Kwa mujibu wa Forbes, Bey amepata pesa nyingi zaidi kutoka kwenye ziara zake za muziki na mauzo ya album. Hii ni list ya kumi bora iliyoongozwa na Beyonce.
 
 1. Beyoncé - $115 million

2. Taylor Swift - $64 million

3. Pink - $52 million

4. Rihanna with - $48 million

5. Katy Perry - $40 million

6. Jennifer Lopez - $37 million

7. Miley Cyrus - $36 million, tie

7. Celine Dion - $36 million, tie

9. Lady Gaga - $33 million

10. Britney Spears - $20 million

0 Maoni:

Toa Maoni