Lady Gaga! Asaula na kubaki mtupu jukwaani..


Lady Gaga haishiwi vituko..kila siku ana mpya! Na safari hii bidada huyu amesaula nguo zake na kubaki na ya ndani tu alipokuwa kwenye ziara yake ya muziki huko Vienna bila kujali umati wa watu uliokuwepo wala camera za mapaparazi!

Shuka chini kucheki picha zake--->>>


0 Maoni:

Toa Maoni