Kwa mujibu wa mtandao wa Media take out Kim na Kanye wanatarajia kupata moto wapili. Wawili hawa walionekana pamoja katika LACMA Art + Film Gala huko LA siku ya jumamosi huku Kim akionekana kitumbo kimechomoza .
Inawezekana ni kweli au ikawa tetesi pia kwa hiyo tungoje tuone ila shuka chini kucheki picha za mastaa hao zilizozua gumzo wakionekana na furaha..



0 Maoni:
Toa Maoni