PICHA: Kutana na mashabiki Nick Minaj walionyesha mapenzi yao kwake kwa style hii-->>


Unapokuwa shabiki wa mtu au kitu unaweza kufanya chochote ili kudhihirisha hilo hata mbele za watu. Mamu Africa blog ilishawahi kuandika habari ya shabiki wa Man U aliyejichora tattoo ya club hiyo usoni kabisa kuonyesha mapenzi yake. Kwenye mziki pia mashabiki wa mwanadada Nick Minaj wameonyesha mapenzi yao kwake kwa kukopi swaga zake nae bila hiyana aka-share picha hizo kwenye mtandao wa Instagram. Cheki hapa...


0 Maoni:

Toa Maoni