PICHA: Chris Brown aongeza kipini cha pili puani ...hot or not?


Chris Brown ameongeza kitu kingine kwenye muonekeno wake baada ya kuongeza kipini kingine puani. Chris alioneka kwenye sherehe ya kuzaliwa ya kutimiza miaka 30 ya staa mwenzake wa muziki trey Songz. Hii inamaanisha Chris ana vipini viwili sasa puani!

Cheki picha yake ya muonekano wa sasa kisha niambie Hot or Not...

0 Maoni:

Toa Maoni