Mapacha wawili wanaowakilisha Nigeria kwenye anga ya muziki P-Square jana wamempoteza baba yao mzazi ikiwa ni miaka miwili tangu mama yao afariki.
Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi Amen!
Ni Mtangazaji, Mwandishi, Blogger na Mama wa mtoto mmoja. Karibu katika kijiwe cha habari motomoto, burudani na udaku.
0 Maoni:
Toa Maoni