Baada ya kujaribu kwa kila njia na kushindikana kuirudisha ndoa yake iliyodumu kwa miaka 9 ambayo ilivunjika kisa kikiwa ni kumsaliti mkewe ,mwanamuziki Robin Thickle sasa amesonga mbele na kuopoa binti wa miaka 19 ambae ni mwanamitindo aitwaye April Love Geary.
Binti huyo ali-share selfies wakiwa kitandani huku nyingine wakionekana kwenye gari wakipiga misele mitaa ya Los Angeles.
![]() |
| Huyu ndio mrembo wa sasa wa Robin Thickle |
![]() |
| Robin na mpenzi wake wakipiga misele LA |




0 Maoni:
Toa Maoni