Kim Kardashian ajianika mtupu tena! (+18)


Baada ya ku-break internet na picha za utupu alipopamba jarida la Mke wa rapa Kanye West, Kim Kardashian amerudi tena huku safari hii akijianika kihasara hasara na kusahau tayari ni mama tayari yaani ana binti!

Picha hizo ko kwenye jarida la Love magazine ambalo linatoka mwezi huu February. Wakati huo huo mdogo wake ambaye ni mwanamitindo Kendall Jenner naye amefuata nayo za dada yake baaa ya picha zake kuenea akiwa mtupu nae pia anapamba jarida la British magazine!

Kim k
Kendall...mdogo wa Kim

0 Maoni:

Toa Maoni