Ndege iliyobeba wacheza mpira Chile na kupotea miaka zaidi ya 50 yapatikana


Ndege aina ya LAN Chile Douglas DC-3 iliyowahi kuanguka na kupotea kabisa bila mabaki yoyote kuonekana miaka zaidi ya hamsini imepatikana!

Ndege hiyo iliyokuwa imebeba wachezaji mashuhuri wa mpira 24 kutoka nchini Chile ilipotea April 31 mwaka 1961 na kubaki kitendawili. Sasa wapanda milima wamefanikiwa kukuta mabaki ya ndege hiyo pamoja na mifupa ya binadamu!

Hawa ndio wachezaji mpira waliokuwa kwenye ndege hiyo iliyopotea toka mwaka 1961

0 Maoni:

Toa Maoni