Hii inatokea pale tu ushabiki unapokolea na kuingia ndani ya damu kama huyu jamaa (pichani juu) ambaye mapenzi yake kwa Jay Z yamemfanya ajnyoe bonge la style iliyokaa kama tattoo lenye picha ya rapa huyo kichwani kwake!
Pale ushabiki unapoingia damuni!
Hii inatokea pale tu ushabiki unapokolea na kuingia ndani ya damu kama huyu jamaa (pichani juu) ambaye mapenzi yake kwa Jay Z yamemfanya ajnyoe bonge la style iliyokaa kama tattoo lenye picha ya rapa huyo kichwani kwake!

0 Maoni:
Toa Maoni