Ferrari lateketea kwa moto na kubaki majivu


Hii imetokea Kuala Lumpur, Malaysia eo.. Inaweza kuwa si habari lakini inageuka habari kwa sababu aina ya gari lenyewe na gharama yake. Ferrari limeteketea kwa moto loote!

Cheki picha hapa..


0 Maoni:

Toa Maoni