Karrueche hakuwa na habari kama Chris Brown ana mtoto


Karrueche hakuwahi kujua kuwa boyfriend wake Chris Brown ni baba wa wa mtoto wa miezi tisa ila alipata taarifa muda mchache kabla ya TMZ kumwaga mambo hadharani!

Inasemekana kuwa baada ya kupata habari hizo amekuwa hapokei simu ya Chris Brown maana hakutegemea kuwa jamaa ni baba tena amezaa na mwanamitindo anyeitwa Nia ambaye anafahamiana vizuri na Karrueche kwa sababu walikuwa wanaparty wote!!

Karrueche wasichana wengine na Nia ambaye ndio mzazi mwenzie na Chris Brown

0 Maoni:

Toa Maoni