Peter wa P square na sebule yake...


Member wa kundi la Psquare kutoka nchini Nigeria, Peter Okoye ame-share picha inayoonyesha kipande cha sebule yake wakati akiangalia mechi ya Timu anayoishabikia Chelsea na kuamsha gumzo kwa jinsi kilivyo na mvuto huku watu wakijiuliza sebule kamili ikoje!

Cheki picha hapa chini..

0 Maoni:

Toa Maoni