Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Wolper amejibu mashambulizi hayo kwa kusema hajui amshtaki kijana au gazeti na kudai alitamani kumuuliza msanii huyo kuhusu habari hiyo lakini hata namba yake ya simu hana! Cheki hapa alichiandika ....
Ni Mtangazaji, Mwandishi, Blogger na Mama wa mtoto mmoja. Karibu katika kijiwe cha habari motomoto, burudani na udaku.
0 Maoni:
Toa Maoni